• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Wilaya Mh.Richard Kasesela akijaribu moja ya pikipiki iliyotolewa kwa vijana wa kikundi cha Mapambano

Imewekwa : October 9th, 2020

Ummi Mohamed (Afisa Habari na Uhusiano,Iringa -DC)

Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ya tekeleza utoaji wa mikopo kwa Wanawake,wenyeulemavu na vijana.

Halmashauri ya Wilaya ya Iringa imetoa kiasi cha Shilingi milioni 78 zikiwemo Pikipiki mbili kwa Wanawake,Watu wenyeulemavu na Vijana katika kipindi cha robo ya kwanza yam waka wa fedha 2020/2021 .

Akizungumza kabla ya makabidhiano hayo Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh.Richard Kasesela amewasisitiza vijana hao kutumia vyombo hivyo kwa uangalifu ikiwemo kuvaa kofia na viatu vigumu ili kujikinga na ajali kwa kuwa bado wanahitajika katika Jamii zao na Taifa kwa ujumla.

Mh. Kasesela amesema utoaji wa mkopo huo wa pikipiki ni ombi la kijana Asajigwe ambaye ametoa kama wazo kwa kuwa vijana wengi hawatulii sehemu moja hivyo kwa kuwanunulia vitendea kazi inasaidia kuwaweka pamoja vijana hawa ambao wameamua kujiajili katika sekta ya usafirishaji.

Alisema suala la  vijana kujiunga katika vikundi na kufanya shughuli za maendeleo ni suala la kupongezwa kwani linapelekea kupungua kwa wimbi la uharifu lakini pia kuwepo kwa ongezeko la ajira kwani wanaweza kulipa na kurudia kukopa mpaka wana kikundi wote kumi kumiliki chombo hiko.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Bw.Wapa Mpwehwe amesema huo ni muendelezo wa utoaji wa mikopo katika Halmashauri yake .

“zoezi hili la utoaji wa mikopo kwa Halmashauei yetu ni endelevu kwa kuwa kila mwaka tunatoa mikopo kwa vikundi vya wanawake,watu wenyeulemavu na vijana na katika robo hii ya mwaka wa fedha 2020/2021”alisema.

Naye Afisa Maendeleo ya Jamii Bi.Saumu Kweka amesema katika awamu hii wanawake walipatia mkopo wa shilingi 42,vijana milioni 30 na watu wenye ulemavu milioni 6  ambapo katika milioni 30 za vijana milioni tano ndio zimenunua pikipiki mbili walizokabidhiwa vijana wa kikundi cha Mapambano.

“Hali ya changamoto sio mbaya sana ingawa kuna changamoto kwa vijana kwa kuwa waliowengi hawafanyi shughuli zao katika eneo moja wengi huama ama kuwanunulia vitendea kazi kutasaidia urudishaji wa mkopo mkopo huu”alisema Bi.Kweka

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha pili na Kidato cha nne 2020 haya hapa January 15, 2021
  • TANGAZO UPANGISHWAJI WA MAJENGO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA. December 14, 2020
  • UZINDUZI WA BARAZA LA MADIWANI 2020/2025 December 14, 2020
  • Tangazo la ujio wa Madaktari bingwa kutoka Ujerumani katika Kituo cha Afya cha Ifunda Mission. February 06, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Muwezezaji wa Mrati wa World Vision Wasa Bi.Gaudencia Mushi akiwa katika picha ya pamoja na wazazi na watoto waliopatiwa vitimwendo katika kata ya Wasa

    November 26, 2020
  • Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh.Richard Kasesela pichani akifungwa skafu na skauti alipowasili katika shule ya Sekondari Ilambilole

    November 04, 2020
  • Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh.Richard Kasesela pichani akifungwa skafu na skauti alipowasili katika shule ya Sekondari Ilambilole

    November 04, 2020
  • Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh.Richard Kasesela akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua baraza la watoto la Halmashauri ya Wilaya

    October 20, 2020
  • Tazama zote

Video

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya azindua rasmi ghala la Isele
video

Viungo vya haraka

  • Dashibodi ya Mapato
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Gangilonga

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0767778106

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa