Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ina eneo la hekta 479,158 zinazofaa kwa kilimo ambapo eneo linalotumika kwa shughuli za kilimo ni hekta 244,439 tu sawa na 51% ya eneo linalofaa kwa kilimo.
Katika msimu wa 2015/2016, Halmashauri ilisimamia uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara katika Wilaya. Malengo ya uzalishaji kwa mazao ya chakula ilikuwa tani 619,371 mavuno yalikuwa tani 532,533. Malengo ya uzalishaji kwa mazao ya biashara ilikuwa tani 102,966 mavuno yalikuwa tani 172,051.
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa