MIRADI INAYOFANYIKA IDARA YA ELIMU SEKONDARI
Halmashauri ya Wilaya ya Iringa inampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea fedha za miradi ya UVIKO – 19, na kutatua kero ya upungufu wa madarasa katika shule mbalimbali. Kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 Miradi mingi imefanyika katika Idara ya Elimu Sekondari, kwa fedha za UVIKO – 19. Shule zilizonufaika na fedha za UVIKO 19 ni:-
Katika Mradi huu, Jumla ya fedha kiasi cha Tsh. 1,320,000,000/= kimetumika katika ujenzi wa Mradi wa UVIKO – 19. (Ujenzi wa majengo haya umekamilika tangu Januari, 2022)
Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali wameweza kujenga shule mpya katika Kata mbili. Wadau hao ni SEQUIP.
Umaliziaji wa Maboma ya Madarasa katika Shule 10 kwa fedha za Serikali Kuu
Umaliziaji wa Maboma ya Maabara katika Shule za Sekondari Kupitia Fedha za Serikali Kuu
Ujenzi/Umaliziaji wa Madarasa kwa Fedha za Tozo katika Shule za Sekondari
Miradi Iliyokamilika kwa mwaka wa Fedha 20212022.xls
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa