• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Milioni 247,900,000/= Kutolewa katika Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu

Imewekwa : February 3rd, 2023

Milioni 247,900,000/= Kutolewa katika Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu

Halmashauri ya Wilaya ya Iringa imetenga kiasi cha Tsh. 247,900,000/= kwa ajili ya kutoa mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu ikiwa ni kutekeleza agizo la utengaji wa asilimia kumi (10%) ya fedha za mapato.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bibi Saumu Kweka amewapongeza wote walioshinda katika mchakato wa maombi ya mkopo, amesema lengo lilikuwa kubwa lakini hata kwa hicho walichokipata yawapasa kushukuru.

Aidha amesema kuwa mikopo hiyo watakayipatiwa itakaa kwa muda wa miezi mitatu ndipo marejesho yataanza.

"Ninawaomba hizi fedha mlizoomba mkafanyie kazi mliyoombea ili muweze kurejesha kwa wakati na ili wengine waweze kukopa na wao wafanye maendeleo".

Pia amesema mikopo yote itakayotolewa haitarejeshwa kwenye akaunti kama zamani kwani kwa sasa kutakuwepo na namba maalumu kwa ajili ya marejesho.

"Kwa sasa tuna utaratibu mpya hivyo hakikisheni mtu mnayemtuma akaweke fedha kwenye akaunti ni lazima alete risiti ili kujua kweli kiasi kilichowekwa ndicho kile mlichokubaliana".

Kadhalika Bibi Kweka amewataka wanufaika wa mikopo kuwa makini katika mafunzo yatakayotolewa yakiwemo unyanyasaji na ukatili wa kijinsia, namna ya kufanya buashara, na masuala mengine ya kijamii kwani yana manufaa makubwa katika maisha ya kila siku.

Vikundi takribani 56 vitanufaika na mikopo hiyo ikiwa vikundi vya wanawake ni 18, vikundi vya vijana ni 19 na vikundi vya watu wenye ulemavu ni 19 ambapo jumla ya vikundi vyote vitahamishiwa fedha katika akaunti za vikundi husika.

Matangazo

  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA KWA ROBI YA PILI KWA MWAKA FEDHA 2022/2023. January 16, 2023
  • ZIARA YA MKUU WA MKOA WA IRINGA December 14, 2022
  • Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Taarifa kwa umma kuhusu uandikishaji wa wanafunzi darasa la kwanza December 14, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ZAIDI YA MADAWATI 162 YATOLEWA KWA SHULE YA SEKONDARI KIDAMALI NA SHAFA AGRO COMPANY LIMITED

    March 18, 2023
  • Maandalizi ya Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2023

    March 14, 2023
  • Walimu wa Kidato cha Tano na Sita Kuweka Mikakati ya Kupandisha Ufaulu

    March 09, 2023
  • Wanawake Waaswa Kutokaa Kimya Wanapofanyiwa Ukatili

    March 07, 2023
  • Tazama zote

Video

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA POLIO, DALILI NA NJIA ZA KUJIKINGA
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Gangilonga

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0767778106

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa