• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watumishi Mlimba DC Wafanya Ziara Iringa DC

Imewekwa : September 21st, 2023

Watumishi Kutoka Mlimba DC Watembelea Iringa DC

Watumishi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba wametembea Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kwa lengo la kujifunza namna ya usimamizi wa mradi wa jengo la Utawala la Halmashauri lililojengwa Kata ya Mgama Kijiji cha Ihemi.

Watumishi hao wametembela leo Septemba 21, 2023 wakiwa timu ya watu wanne ambao ni Edward John Chitete (Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu), Mhandisi Isihaka Mussa (Mhandisi wa Halmashauri), Ahmad Asedi Kiwanga (Fundi Mchundo wa Halmashauri) na Mhandisi Moses Ngasa (Mhandisi  SUMA JKT, ambaye ni Mkandarasi anayejenga jengo la Halmashauri hiyo).

Timu hiyo imeweza kujifunza mengi katika jengo hili na pia changamoto walizokutana nazo wamezichukua na kwenda kuzifanyia kazi katika ujenzi wa jengo lao la Halmashauri ya Mlimba.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA USAHILI October 27, 2023
  • ZIARA YA MKUU WA MKOA WA IRINGA December 14, 2022
  • TANGAZO LA KAZI - MBOMIPA March 18, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI MBOMIPA WMA April 11, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII YAKUMBUSHWA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA VVU/UKIMWI

    December 01, 2023
  • Kiasi cha Shilingi Milioni 89.6 ya Bajeti ya Afua za Lishe 2024/2025

    November 29, 2023
  • MHE. RIDHIWANI KIKWETE AFAFANUA JUU YA WANAOTAKIWA KUFANYA KAZI KWENYE MIRADI YA TASAF

    November 24, 2023
  • Ziara ya Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete Iringa DC

    November 23, 2023
  • Tazama zote

Video

MATIBABU YA VIKOPE YATOLEWA IGODIKAFU
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Gangilonga

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0767778106

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa