• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Vituo Vya Utalii

VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA

Vivutio vya utalii vinavyopatikana Halmashauri ya wilaya ya Iringa vipo vya kihistoria na vivutio vinavyoelezea Utamaduni.Vivutio hivyo ni kama vifuatavyo;

S/N
JINA LA KIVUTIO
AINA YA KIVUTIO

MAHALI KILIPO
HALI YA UHIFADHI /USIMAMIZI
01.
HIFADHI YA RUAHA
ASILI

IRINGA
TANAPA
02.
MAKUMBUSHO YA MKWAWA
HISTORIA

IRINGA(KALENGA)
TANAPA
03.
ISIMILA (ZAMA ZA MAWE ZA KALE)
HISTORIA

IRINGA (MSEKE)
TANAPA
04.
PANGO L A MAGUBIKE
HISTORIA

IRINGA(MAGUBIKE)
WILAYA YA IRINGA
05.
DARAJA LA KIKONGOMA
HISTORIA NA ASILI (Daraja la Mungu, Maji moto, Mto Ruaha unapotea 153m

IRINGA
WILAYA YA IRINGA
06.
BWAWA LA MTERA
FUKWE ZA UVUVI

RUFIJI BASIN NA WILAYA YA IRINGA
WILAYA YA IRINGA NA RUFIJI BASINI
07.
KABURI LA MTWA MKWAWA
HISTORIA

IRINGA(NYAMAHANA)
WILAYA YA IRINGA
08.
WANYAMAPORI
ASILI

IRINGA(MBOMIPA)
WILAYA YA IRINGA
09.
CHEMICHEMI YA MAJI MOTO
ASILI

IRINGA (KIKONGOMA)
WILAYA YA IRINGA
10.
MSITU
ASILI

IRINGA (ITAGUTWA)
WILAYA YA IRINGA
11.
MAPANGO YA ITAGUTWA
HISTORIA

IRINGA (ITAGUTWA)W
WILAYA YA IRINGA
12.
UVUVI WA SAMAKI
ASILI

IRINGA (MTERA)
WILAYA YA IRINGA
13.
JIWE LA MAGUBIKE
HISTORIA

MAGUBIKE
WILAYA YA IRINGA
14.
MISITU YA ASILI
ASILI

IRINGA (MAKOMBE)
WILAYA YA IRINGA
15.
MAPANGO YA KIPONZERO
ASILI

IRINGA (KIPONZERO)
WILAYA YA IRINGA
16.
WANYAMAPORI
ASILI

IRINGA (MBOMIPA)
WILAYA YA IRINGA

 

KAZI ZINAZOFANYWA NA HALMASHAURI YA WILAYA IRINGA KATIKA KUKUZA NA KUENDELEZA SEKTA YA UTALII

Halmashauri ya wilaya ya Iringa inajihusisha na shughuli mbalimbali katika kuhakikisha sekta ya Utalii inakuwa kwa kiwango kikubwa hususani katika sekta ya Utalii Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.Kazi hizo zinazofanywa na Halmashauri ya wilaya ya Iringa ni kama zifuatavyo;

  • Utolewaji wa Elimu kwa wananchi wa kawaida pamoja na wanafunzi Mashuleni ili kuweza kuhakikisha Utalii Halmashauri ya Wilaya ya Iringa unakuwa kwa kiwango kikubwa, Elimu itolewayo inahusisha uhifadhi wa Mazingira hususani katika maeneo ambayo ni vivutio, Pia Kuwaelimisha wanafunzi Umuhimu wa utalii kwa vitendo,Pia Halmashauri inajukumu la kufanya maonesho ya Utalii nyanda za juu kusini
  • Kuwaongoza watalii ambao wanafika katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kutembelea vivutio vya Utalii ambavyo vipo chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
  • Kutoa utaratibu na Miongozo wa utolewaji wa vibali hususani kwa watu wanaofanya utafiti katika maeneo yanayopatikana katika halmashauri ya wilaya ya Iringa
  • Kutambua na Kutambulisha mipaka ya maeneo ya Vivutio vya Utalii vilivyopo chini ya Halmashauri
  • Kuweka utaratibu mzuri wa ukusunyaji wa Mapato yatokanayo na Utalii ili kuondoa miingiliano ya utendaji kazi baina ya Halmashauri na Manispaaa ya Iringa
  • Halmashauri kushughulikia hususani katika kuboresha Mazingira ili kuongeza Wawekezaji katika maeneo ya Vivutio vya Utalii
  • Kukusanya Mapato yatokanayo na shughuli za Utalii, Ambazo fedha hizo kwa kiasi kikubwa zinapelekwa Serikali kuu kwa ajiri ya maendeleo ya Uchumi wetu
  • Kutambua na kutambulisha maeneo mapya ya vivutio vya Utalii, kwa ujumla maeneo yote ambayo yapo chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA INANUFAIKA KWA KIASI KIKUBWA KUWEPO KWA WADAU NA WAWEKEZAJI MBALIMBALI KATIKA MAENEO YA VIVUTIO VYA UTALII

  •  
  • Halmashauri ya wilaya ya Iringa inawahusisha Wadau na Wawekezaji kutoka nje ya Nchi ya Tanzania na ndani ya Tanzania kuwekeza katika vivutio mbalimbali vya Utalii ambavyo vipo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa lengo ni kuweza kukuza na kuendeleza Sekta ya Utalii na kuvitangaza vivutio vya Utalii Kitaifa na Kimataifa
  • Suala la Wawekezaji na Wadau mbalimbali kujihusisha katika Sekta ya Utalii kuna utaratibu na Miongozo ambayo kama Halmashauri ya Wilaya inatoa Miongozo na Taratibu mbalimbali zinazosaidia kama Wawekezaji kukidhi vigezo na taratibu zote zilizowekwa ili kukaribishwa katika kuwekeza kwenye maeneo ya Vivutio vya Utalii ambavyo vipo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

Halmashauri ya Wilaya ya Iringa inanufaika kwa kiasi kikubwa Uwepo wa Wadau una Wawekezaji katika Maeneo ya vivutio vya Utalii ikiwa ni Pamoja na Faida zifuatavyo;

  • Ongezeko la mapato ya ndani yatokanayo na shughuli za uwekezaji kwenye sekta ya utalii kama vile kodi ya huduma, leseni za biashara na usajili, kodi za mapato.
  • Wananchi wananufaika kwa kupata misaada mbalimbali ya Ajira pamoja na chakula hususani katika maeneo ambayo wawekezaji wamewekeza katika kilimo na ufugaji
  • Kuwepo kwa ushirikiano mzuri baina ya Wawekezaji na Halmashauri katika kuhakikisha Utalii Halmashauri ya Wilaya ya Iringa unakuwa kwa viwango vya Kimataifa
  • Kutangazwa kwa Vivutio vya Utalii kimataifa hii ni kutokana na kuwepo kwa Wawekezaji kutoka Nje ya Tanzania
  •  
  •  

Matangazo

  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA KWA ROBI YA PILI KWA MWAKA FEDHA 2022/2023. January 16, 2023
  • ZIARA YA MKUU WA MKOA WA IRINGA December 14, 2022
  • Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Taarifa kwa umma kuhusu uandikishaji wa wanafunzi darasa la kwanza December 14, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ZAIDI YA MADAWATI 162 YATOLEWA KWA SHULE YA SEKONDARI KIDAMALI NA SHAFA AGRO COMPANY LIMITED

    March 18, 2023
  • Maandalizi ya Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2023

    March 14, 2023
  • Walimu wa Kidato cha Tano na Sita Kuweka Mikakati ya Kupandisha Ufaulu

    March 09, 2023
  • Wanawake Waaswa Kutokaa Kimya Wanapofanyiwa Ukatili

    March 07, 2023
  • Tazama zote

Video

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA POLIO, DALILI NA NJIA ZA KUJIKINGA
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Gangilonga

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0767778106

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa